iqna

IQNA

Matukio ya Karbala
Maombolezo ya Ashura yalifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) huko Vienna, mji mkuu wa Austria.
Habari ID: 3479142    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17

Karbala ya Mwaka 1445
Shirika la Hija na la Iran limesema usajili kwa wale walio tayari kushiriki katika ziyara ya maombolezo ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imamu Huseini (as) ya mwaka huu nchini Iraq yataanza Jumapili.
Habari ID: 3479073    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Karbala ya 1445
Kamati ya kitamaduni na kielimu ya Makao Makuu ya Arobaini ya Iran imesema makundi ya makari wanaume na wanawake, wasomaji Tarteel na makundi ya Tawasheeh yanaweza kujiandikisha kuwa sehemu ya msafara wa Qur'ani wa Arobaini wa mwaka huu.
Habari ID: 3479042    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01

KARBALA (IQNA) – Katika kampeni ya kuheshimu Qur’ani Tukufu, makumi ya wafanyaziyara wa Arubaini waliandika aya za kitabu hicho kitukufu wiki iliyopita.
Habari ID: 3477586    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12

Wahusika wa Karbala /3
TEHRAN (IQNA) – Tukio la Karbala lina mafunzo mengi kwa wanadamu. Katika Vita vya Karbala vya mwaka 61 Hijria au 680 Miladia, mrengo wa haki na ukweli ulikabiliana na mrengo wa batili na uwongo.
Habari ID: 3475784    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14

Wahusika wa Karbala /2
TEHRAN (IQNA) -Vita vya Karbala vinaleta mafunzo mengi. Miaka 1383 iliyopita tarehe 10 Muharram katika siku ya Ashura, moja kati ya vita mashuhuri katika historia ya Kiislamu na ya mwanadamu, vilitokea baina ya majeshi ya haki na batili katika ardhi ya Karbala katika Iraq ya leo.
Habari ID: 3475769    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12